[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ni protokali za kawaida, maana migodi mingi walanguzi wameacha mashimo tu.[emoji38]
Ahsante pacha. Nakaribia tuimalizie mumy.Kwema twinnie,karibu tumalizie weekend..
Huyo achana naye anasemea mapengo.tofautisha mwanya na pengo mkuu
Mmhhni ulemavu tena ni wakuziba......
Kabisa mumy. Uwe na siku njema.Kwa raha zetuu..[emoji4] [emoji4]
kama binti yangu japo bado mdogo ila nimeshaanza kuimarisha ulinzi nyumbani.Sasa kuna wenye full kombinesheni...ana dimples na mwanya!
ndioUnataka kuwekeza ?
Kho khoUmesahau dimples za makalio nazo ngumu sana kufake
ShikamooSasa kuna wenye full kombinesheni...ana dimples na mwanya!
Teh teh teh naona yaliyomo yamoooo....Kho kho
Hizi avater zako hizi[emoji7] [emoji86] [emoji7] [emoji7]Asante kaka mshana
Hivi zile zinamaanisha niniTeh teh teh naona yaliyomo yamoooo....
Zina nini tena jaman mkuuHizi avater zako hizi[emoji7] [emoji86] [emoji7] [emoji7]
Hivi zile zinamaanisha nini
Same same mamie...santeeKabisa mumy. Uwe na siku njema.
Basi tu ngoja niendelee kuzoom[emoji102] [emoji102] [emoji102]Zina nini tena jaman mkuu