Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,546
- 830,111
Pamoja na kwamba kwenye ishu nzima ya mahusiano, upendo, mapenzi na hata matamanio ya kimwili aina za mvuto na ushawishi wa vinatofautiana lakini kuna baadhi ya viashiria ambavyo ndio huwa kama msingi duniani kote
Nazungumzia makalio makubwa, hips, nyonga, macho ya kulegea, nyembamba, rangi ya hasa usoni, makeups, nyusi ndefu nk nk -hivi vyote vinachakachulika na wanawake wengi wameangukia kwenye huu mtego... Ila OG ni tofauti kabisa na FEKELO
Vipi kuhusu dimples na mwanya? Bila kusahau kengeza la mbali.... Acha kabisa hivi vigezo ambavyo havichakachuliki, ukichakachua dimples utaishia kupata ndonya, ukichakachua mwanya uataishia kubaki na pengo, ukichakachua kengeza utaishia kubaki na chongo.... Hizi ni OG ambazo Mungu kaziweka zisichakachulike! Usisahau wanawake mashoto, aisee kama huna habari huu nao ni MVUTO...!!!
Wallah usimwingilie aliyepewa kapewa... Wenye dimples nawaona wanavyotabasamu, wenye mwanya nawaona tu wanavyokenua wenye kengeza nawaona wanavyojaribu kurembua kwa maringo
Cha ajabu na cha kushangaza mvuto wa mwili hauna mahusiano yoyote na kunako majamboz japo huwa kichokoo cha mshawasha....
NIKUKUMBSHE TU! USihadaike na mvuto wa nje kuna ya ziada.. Japo mwisho wa siku unachotumia ni kipande tu.....
Sent using Jamii Forums mobile app