Dili, wabongo changamkieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dili, wabongo changamkieni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Feb 3, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.
   
 2. semango

  semango JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu toa kwanza orodha ya hizo nafasi ambazo ziko vacant
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Finance
  IT
  Engineering ndio nyingi kwa sasa...
   
 4. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna nafasi ya uwaziri wa nishati?.....nataka nikawe waziri wa nishati huko nije kuwauzia watanzania umeme.
   
 5. Taluma

  Taluma Senior Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Yo Yo,

  Yana uhakika haya mambo kweli? isije ikawa kama ile dili ya jamaa yetu FMES.....ya kuchangia USD 300 etc? Ngoja nikurushie PM!
   
 6. m

  mwijage peter New Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa tupe contact wengine tupo karibu na hapo namaanisha jiji kuu la kaguta museven
   
 7. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mkuu yoyo, wewe ndio unawasaili watu au? Tuku PM, kwanini wakati nafasi za kazi huwa, zinatangazwa na address husika ili maombi yafike, lakini naona unafanya siri as if una ajenda ya siri. Kama kuna kiasi cha fedha kinahitajika weka wazi, ili wana JF: wajadili kwa kina, ili kuepusha watu wasije kuingizwa mkenge
   
 8. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kaka tua email yako basi tukutumie!!!!!!!!!!
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu, cheki inbox yako halafu unipe jibu!!!
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hapana mkuu.....haifiki USD 300...dili hili haliwezi free of charge halijatolewa na UN ni agency ambayo imechukua kama tenda ua kupeleka rasilimali watu kule.....wakuu ni deal u know wat i mean.....so haliwezi kuwa free....
   
 11. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa mapopo hawapo?
   
 12. E

  Egongos Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Toa Contacts zako na uwe more specific kwenye hizo nafasi pamoja na uthibitisho, tamka vile vile kama kuna haja ya familialization visit, applicable language knowledges etc.
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Yo Yo ndugu yangu hii nchi ilivyo hata wakinitaka sasa hivi nahama na familia yote umeme tabu, hospitalini mwananyamala wanacheza deal hadi na miili ya vitoto vichanga, maji taabu, kazi kujuana juana tu. Sema kule si ndio kuna Sharia???
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu.....sharia ipo juu Khartoum....south ni kristo tu.....
   
 15. T

  Twamae Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kuwekeza huko, ni lazima uwe na mwenyeji kama director wa kampuni inayo wekeza na huyo mwenyeji anapata 40% of the profits yet yeye haja ngaramia huo uwekezaji. It's very unfair lakini hamna vinginevyo. Alafu wakati mwingine atataka ku-run hiyo biashara na ukikataa, unanyanganywa biashara yako na ukiwa na bahati utakuwa deported tu lakini wasio kuwa na bahati ya deportation wanauawa. Wakenya wengi wameporwa biashara zao hivyo na wengine wakapoteza maisha lakini i'm hoping with the referendum na sheria mpya, haya masuala yatatatuliwa na mambo kuwa salama. Business prospects ni nyingi na employment opportunities kibao hata kwa akina mama ntilie.
   
 16. M

  Mwera JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muwe makini msije mkalia kama yaliwahi kutokea watu wakalizwa,
   
 17. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yele yale yaliyoniliza kwenye dili la Saudi Arabia na Denimark..... hunipati ngo
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee namkumbuka FMES na kazi za majuu!
   
Loading...