NgomaNzito JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 559 Reaction score 28 Mar 11, 2016 #1 Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Mar 12, 2016 #2 sijawahi nunua sababu ni usafi duni katika uandaaji ingawa naona kwa wengi sio tatizo .