Dili la haraka kwa watumiaji wa tigo tu.

Dili la haraka kwa watumiaji wa tigo tu.

line yenyewe uwa siitumii, ila i was trying to see if it works, nikajaribu mara nyingi nyingi, walivotuma zikajibiwa zooote nilizoomba

duh.. nami nimejaribu... wacha nione... ila hapa wanaiambia tu muamala hauwezi kamilika sina mpunga wa kutosha >> ila nimejaribu kwa tigo pesa ofisi yangu... Hiyo namba yako ya wakala mimi NO... Chezea kuingizwa mujini..!!!
 
Hii ni kwa watumiaji wa tigo tu!
Bonyeza *150*01#
Kisha bonyeza namba 3 kutoa pesa!
Namba ya wakala weka 11200
Kiasi ingiza 1,000,000
Namba za siri unaweka unayo2mia siku zote yaani namba yako ya siri ya tigo pesa!
Utapokea sh 5000 kutoka tigo ambayo ni bonas ya kupiga mitandao yote Tanzania.
Unaweza uka2ma mara nyingi utakavyo. Kila unapo2ma ndivyo unavyopokea.
Mimi tyr nimebakiwa na sh 92,358.
Jaribuni Muone

tajibu kutumia akili hiii hapa kuweza kufanya kitu halali ambacho kitakuingizia kipato kuliko kufanya huu wizi wa mchana
 
washaizuia hii kitu..ndo ubovu wa kuongea kwa sauti kubwa..
..update..
imekuja kumbe..
yhuj1et3j9uysxmor5s3.png

mkuu mbona mauzauza
From 076......
 
duh.. nami nimejaribu... wacha nione... ila hapa wanaiambia tu muamala hauwezi kamilika sina mpunga wa kutosha >> ila nimejaribu kwa tigo pesa ofisi yangu... Hiyo namba yako ya wakala mimi NO... Chezea kuingizwa mujini..!!!

Si lazima ui2mie. Ilikuwa ukiingiza namba yeyote ambayo iko active, inakubali.
 
tajibu kutumia akili hiii hapa kuweza kufanya kitu halali ambacho kitakuingizia kipato kuliko kufanya huu wizi wa mchana

Kwani nimekuagza unipe kipato?
Usikariri, elewa!
 
Hii ni kwa watumiaji wa tigo tu!
Bonyeza *150*01#
Kisha bonyeza namba 3 kutoa pesa!
Namba ya wakala weka 11200
Kiasi ingiza 1,000,000
Namba za siri unaweka unayo2mia siku zote yaani namba yako ya siri ya tigo pesa!
Utapokea sh 5000 kutoka tigo ambayo ni bonas ya kupiga mitandao yote Tanzania.
Unaweza uka2ma mara nyingi utakavyo. Kila unapo2ma ndivyo unavyopokea.
Mimi tyr nimebakiwa na sh 92,358.
Jaribuni Muone
aiss hivi hili dili bado lipo au ndo nimeshalichelewa!
 
Hakuna cha bule hapo ukituma kama unahela inaenda mtaibiwa mkome
 
I guess nimechelewa kama ilikuwa kweli!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1366709950344.jpg
    uploadfromtaptalk1366709950344.jpg
    21.3 KB · Views: 56

Similar Discussions

Back
Top Bottom