Nimependa vitu kadhaa kutoka kwa mtoa mada.tafadhali naomba nivitaje.
Firstly mtoa mada is faithful to his man,mtoa mada is a family woman/wife material.
Back to topic.
Pengine ni matatizo ya masturbation na porne(pengine)
anachoweza kufanya mpe vyakula vilivyojaa protein kwa wingi eg karanga,korosho,etc pia afanye mazoezi aongeze pumzi na stamina,fanya hivyo then leta feedback!fanya the needful mdada,dont give on your man dont give up on love at least not yet!
Chips + Mayai...tena bila hata mazoezi ya kupiga push ups (hapa siongelei kunyanyua chuma) vinamaliza watoto wetu...
Nahisi kwamba akina mama wanatakiwa kuwatendea haki watoto wao ili wajihakikishie kupata wajukuu na pia wakwe zao wapate huduma kama wanayopata!
Babu DC!!
!
!
mh!pole sana kwa kweli......vunja ukimya, usikute akiwa anapiga nyeto anatupia hat trick na anaondoka na mpira
Ngoja kwanza hasira zangu zitulie kwanza nitamrudia huyu
Na hii ni taarifa kwa wale wanaosema eti hakuna game kabla ya ndoa,mmeona sasa?
Hebu fikiri huyo angekuwa ndoani ingekuwaje?
CC: Mtambuzi !!!!!!
"if you don't like where you
are ,move !!! ...you are not a tree"
Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work."if you don't like where you
are ,move !!! ...you are not a tree"
yaani leo maushauri yako ni balaaUnavijua vidumu vya lita tano?????????
Chukua kimoja basi eeeenh!!!!!!!! kikisimania vizuri show hama nacho kabisa.
Heeee siku hizi mambo haya yakoje jamani?Mmejuana ndani ya miezi 3 umeishamvulia c.h.u.p!!Enzi zetu ulikuwa unasota zaidi ya mwaka ndo uipate papuchi!
Inawezekana mwenzio ni tatizo la kisaikolojia linamsumbua,inawezekana alitegemea mkae walau miezi 6 hivi ya kufahamiana ndo muanze kumegana,lakini mwenzetu siku ya kwanza tu inaonekana ukataka ugegeduliwe!Kwa hiyo mnapokuwa kwenye gemu,mawazo hayo yanamuijia kuwa labda wewe ni maharage ya Mbeya,hapo mashine lazima ilale!Mchukulie taratibu,siku ya mechi mpikie chakula kizuri,then take it easy sio umuonyeshe kama unataka kushindana,mpe matumaini,raundi ya kwanza mpe juisi then fanya kazi msaidie kuisimamisha mashine,piga mzigo!Kwa mwanamke anayejua kazi yake vizuri mashine ya mwanaume haiwezi kupiga usingizi,itapiga kazi mpaka itatoa povu!Uwezo wako wa kuhamasisha ni mdogo,uboreshe.
Samahani lakini ehee!
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
Babu DC sina shaka utalipia hili tangazo. By da way wanakuja wenye changamoto zao, wachache sana wanashare furaha zao jamvini, tutakosea sana tukisema picha ya tatizo hili ni halisi na kuakisi jamii zetu moja kwa moja.Ataenda wapi wakati vijana wate wamekuwa milegezo kama suruali zao??
Labda kama unamshauri aanze kusumbua wastaafu wa 1947....
Babu DC!!
Now I get ua point, chakula na mazoezi kama ulivyoshauriwa,then sikilizia gwaride.Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.
Babu DC sina shaka utalipia hili tangazo. By da way wanakuja wenye changamoto zao, wachache sana wanashare furaha zao jamvini, tutakosea sana tukisema picha ya tatizo hili ni halisi na kuakisi jamii zetu moja kwa moja.
Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.
Wewe embu acha mambo yako miezi 3 mingi sana.Mambo yenu ya mwaka 47 hukohuko tena mkome kutuletea vizazi vya .com
Babu yangu aliwahi kuniambia ''Meku mwanamke akudharau wewe ni masikini lakini sio kwenye uanaume wako''.
Ha ha ha nimekipenda hcho kipande aiseee!!mianaume ya ckuizi ,mivivu,km co mvivu Ana kibamia hajui kukitumia!!