USITOE MIMBA JOOOHH !!
nasema, usikae ukafikiria kutoa mimba !!.
kwanza ukishatoa Jua kwamba HAMTOKAA MUOANE NG'OO....chunguza walotoana mimba ,wanaishiaga kukimbiana ovyoovyo sababu ya Laana.
Alafu shule ipo miaka na miaka..tena hiyo ya mwaka mmoja??? Usiumie.
USHAURI.... MWAMBIE BINTI ALEE MIMBA.
SIKU ZOTE MWONYESHE KUA WEE NI BABA MPIGANAJI NAKWAMBA UNAPAMBANA KWA JASHO, DAMU ILI KULEA MIMBA, NA MTOTO NA KUMRUDISHA SHULENI.
WAKA HUOHUO.... ANZA KUPAMBANA, DUNDULIZA, PIGANA, PAMBANA, ..NINA IMANI UKIPAMBANA MPAKA KUFIKA KUZALIWA UTAKUA NA KITU KWA AJILI YA MWANAO LKN PIA KITU KWA AJIL YA KUMSOMESHA..
UJINGA NINKUSEMA PESA HAIPO ALAFU HUPIGANI. MWISHO BINTI ANAKUONA USOWEZA, UTAMPA SHIDA
[emoji117][emoji117][emoji117]UTAMPA SABABU YA KUACHANA NAWW NAATASEMA "Mimba ilikushinda ,saizi ndo uiweze"[emoji3][emoji23]
Mwisho.... Kama ni mtu mzm kiumri, basi amin, kama mwenyewe alikua karidhia kulea, Basi ujue anakupenda na yupo tayar kua naww kwa mazingira yoyote ISIPOKUA WEWE NDO UNATAKIWA UMPE NGUVU .
[emoji117][emoji117][emoji117]WANAWAKE HUISH KTK HISIA !!!!!UKIACHANA NA HAWA WENGINE WADANGAJI .