Dilemma: Sihitaji atoe mimba ila mazingira magumu

Dilemma: Sihitaji atoe mimba ila mazingira magumu

Pole. Nadhani wewe na mwenzako wote mpo kwenye medical field. Mnashindwa kuchukua tahadhari wakati wa kufanya mapenzi halafu unakuja kuomba ushauri? Mlitegemea nini?
 
Pole. Nadhani wewe na mwenzako wote mpo kwenye medical field. Mnashindwa kuchukua tahadhari wakati wa kufanya mapenzi halafu unakuja kuomba ushauri? Mlitegemea nini?
Tahadhari ziligonga mwamba mkuu
 
As a Christian, I should probably never say this but here goes nothing.........................Mkuu toeni hiyo mimba faster.
  • Mtoto ni forever, once akisha zaliwa there is NO going back!
  • One thing I have learned is; nothing turns a relationship sour faster than Economic hardship. Je umesha jiuliza other than kukatika kwa hiyo ada ya masomo je kwa mfano wazazi wakiamua kumtimua home what will happen? Mtakula, kulala na kuishi je?
  • Mpe mama nafasi ya kumaliza masomo, na wewe chakarika upate pakujikim.Mungu akijaalia mtaweza kuzaa baadae, ila please please usijidanganyike na kile kimsemo kila mtoto ana bahati yake! Real life is different
  • Lastly, please condom-ize! ama sivyo mwambie binti atumie vindonge vya majira!
Ushauri wa kishetani huu
 
Alee mimba kusoma atasoma baada ya kujifungua, wewe jitahidi kutafuta kazi kwa bidii zote uzuri mmoja una elimu nzuri.
 
Umemshauri ushauri wa kiuaji fikiria babaako angeshauliwa hvo wewe Leo ungekuwepo? Ungeandika na hicho kingereza chako? Acha mtoto azaliwe hakuna mtoto haramu labda huyo ndo anaweza kuja kuwa raisi wa kizazi kijacho. Kikubwa ajipange tu hata binti akifukuzwa kwao awe na uwezo angalau wa kumhudumia maisha yaendelee baadae kama akiajiliwa basi atakuwa anaweka akiba then atampeleka chuo. Elimu haina mwisho

Mtoto kuwa ama kutokowa haramu inahusiana vipi na matunzo? Mtu kaelezea kuwa hata yeye mwenyewe kipato chake ni cha kusuasuahalafu ajipange, ajipange na nini hewa???Rais wa kizazi kijacho my black a** , ushauri gani huu wa ndoto za alinacha!!!!

PS: Wazazi wangu mimi wamenizaa baada ya kumaliza Chuo, in fact walikutana Chem Lab hapo mlimani so walikuwa wapo tayari kwa watoto
 
Hata kama wazaz wako wangekutana peponi ila ushauri ulioutoa n wakijinga huwez mshauri mtu aue.
Nyie ndo wasomi bure kabisa.
 
Wewe dada unaakili.Wewe umemshauri kwa kutumia Akili,Wengine wametumia Hisia na dini.Mimi ningechukua ushauri wako. Chukua ushauri wowote kati ya hizi shauri,alafu baada ya miaka miwili turudi kwenye huu Uzi.

Na itakuwa hivi.

Usipotoa mimba utakuwa na chance kubwa saaana ya kuwa umepigika kimaisha but you might be very happy with the kid.

Ukitoa mimba mtakuwa na chance ya wote wawili kujipanga Kimaisha na kuzaa kwa muda muafaka.Hili litawafanya muwe stable saana.

Umewahi kusikia kuhusu maamuzi magumu..??This is your time.
Mtoto kuwa ama kutokowa haramu inahusiana vipi na matunzo? Mtu kaelezea kuwa hata yeye mwenyewe kipato chake ni cha kusuasuahalafu ajipange, ajipange na nini hewa???Rais wa kizazi kijacho my black a** , ushauri gani huu wa ndoto za alinacha!!!!

PS: Wazazi wangu mimi wamenizaa baada ya kumaliza Chuo, in fact walikutana Chem Lab hapo mlimani so walikuwa wapo tayari kwa watoto
 
Habari za muda huu wakuu.

Niende moja kwa moja kwenye mkanganyiko ulionifanya kuleta uzi kwenye jukwaa hili pendwa.

Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanafunzi wa chuo kwa miezi kadhaa ameshika ujauzito wangu, akanieleza sikukataa, na yeye binafsi alikubali kwa moyo mmoja kulea mimba hiyo, tatizo limekuja kwamba ratiba iliyopo katika chuo chake hatoweza kufanya masomo kipindi cha uzazi itabidi asimame masomo aje kurudi mwaka mwingine, atakaporudi atahitajika kulipa gharama upya, ambapo kwa sasa anagharamiwa na mzazi, kozi ni ya mwaka mmoja gharama yake ni 1.6mil.

Ni dhahiri kwamba atakapojifungua mzazi wake hata weza kumrudisha masomoni tena, jukumu hilo litaangukia kwangu mimi ambaye bado sijapata kazi maana nimemaliza chuo mwaka huu, kipato ni cha kusua sua hakiwaweza kumudu kusomesha, ni kulea tu mtoto na mambo mengine madogo madogo.

Binafsi sihitaji atoe mimba maana nina mpango wa kumuoa, ila naona binti anakata tamaa, naona amefika mahali anaona sitoweza kumsomesha tena, imani yake imeshuka, kichwa kinauma nifanyeje maana kwa kweli pesa ya kumsomesha haitokuwepo na mimba pia sihitaji atoe.
Ushauri wenu.
vaa viatu vya huyo kiumbe aliyeko tumboni..kisha HAMUA na FIKIRIA...

wewe wazazi wako wangekuua kisa uchumi wao je,ungekuwa wap now?
Acha kukatisha maisha ya kiumbe ambacho hakina hatia

Bila Shaka utakuja kuwa baba wa kiumbe mwenye heshima kuu duniani...so ucjaribu kuhitimisha safari ya super hero wa hii Dunia...

pia mtoto akizaliwa Mungu hushusha sahani na baraka zake so usiwaze kuhus uchumi yaweza kuwa mtoto ndiye atakuwa key ya wewe kupata mafanikio....

Bila Shaka mama akijifungua lazima uta struggle,
then anza kuweka akiba kidogo kidogo.and lastly kumbuka hatma yetu ipo mikononi kwa Mungu
kama hujuh baada ya dk 10 utakuwa nani au kip kitatokea Bila Shaka huwez tambua kama, lini na wakati wako sahani yako ya baraka itashushwa kwako...
hebu mleteni huyo super hero hapa duniani .then hachaneni na mawazo ya ki shetani

NB:MTU YEYOTE AMBAYE AMETOA MIMBA HUWA ANA LAANA YA MILELE na PIA MILANGO YAKE YA MAFANIKIO NA BARAKA huwa INAFUNGWA PIA.
 
As a Christian, I should probably never say this but here goes nothing.........................Mkuu toeni hiyo mimba faster.
  • Mtoto ni forever, once akisha zaliwa there is NO going back!
  • One thing I have learned is; nothing turns a relationship sour faster than Economic hardship. Je umesha jiuliza other than kukatika kwa hiyo ada ya masomo je kwa mfano wazazi wakiamua kumtimua home what will happen? Mtakula, kulala na kuishi je?
  • Mpe mama nafasi ya kumaliza masomo, na wewe chakarika upate pakujikim.Mungu akijaalia mtaweza kuzaa baadae, ila please please usijidanganyike na kile kimsemo kila mtoto ana bahati yake! Real life is different
  • Lastly, please condom-ize! ama sivyo mwambie binti atumie vindonge vya majira!
Yesu aliwauliza wanafunzi wake hivi "watu wanasema Mimi ni Nani?"
petro akajibu akasema "wewe ni masihi na KRISTO YESU mwana wa Mungu"
Yesu akajibu akamwambia "Siyo kwa Utashi na Akili zako,bali ni kwa uwezo wa roho na baba waliokufunulia hivyo"

Maana yake ni nini??

siyo kwa Utashi na Akili yako iliyokutuma uandike "PUMBA YAKO HAPO" bali ni kwa Utashi na maarifa ya "Ki shetani yaliyokufanya uandike hivyo" hebu ruidia kuisoma hiyo comment yako then fikiri kwa jicho la ki Mungu na ki binadamu
then vuta picha wazazi wako enzi hizo ndiyo wangekuwa wanapanga kukutoa wewe....!!!

Hebu kuwa Binadamu ndugu
 
In this life, one thing I learned is "in each situation, do your best and the rest will be decided by the almighty".

U never know, huyo mtoto mnayemuona kikwazo kwa masomo na maisha yenu (as family) ndo inaweza ikawa neema kubwa kbs ktk maisha yenu. Also, struggle mtakayopitia hapo ndo inaweza kuwa opening ya bright future yenu.

So, ushauri wangu ni do your best kutafuta future ya mtoto na mama yake. na mama afanye the same kwa masomo yake na afya yake na mtoto. situation za uzazi mtakabiliana nazo jinsi zinavokuja.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom