Dikteta alimruhusu Dr Godwin Mollel kufanya siasa ya kujenga madarasa ya shule!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,083
28,280
Dr Godwin anamshukuru Dikteta (kimoyomoyo) kwa kumruhusu kufanya mkutano wa kisiasa jimboni kwake,mkutano ambao ulishuhudia harambee ya kujeanga madarasa katika shule ya sekondari ili watu wa SIHA waweze kupata elimu.

Hii ina maana Dikteta ni mzuri sana kwani anafanya udikteta kwaajili ya maendeleo.
 
Hiyo ID kweli inaakisi akili yako! Hivi huwa mnalipwa kwa threads mnazopost au? Sidhani kama ukirudia kusoma ulichopost unaweza kuelewa ulimanisha nini! Anyway unanijazia list yangu ya ignore!
 
Tunataka mbowe aje kuandamana Moshi usiku na mchana
 
Hiyo ID kweli inaakisi akili yako! Hivi huwa mnalipwa kwa threads mnazopost au? Sidhani kama ukirudia kusoma ulichopost unaweza kuelewa ulimanisha nini! Anyway unanijazia list yangu ya ignore!
Na wewe rudia ulichopost ...kwa kuwa uelewa wako unaakisi mahitaji ya kushikishwa ukuta
 
Naona Dikteta katoa fursa kwa Mbowe kwenda kwenye ujenzi wa Shule huko machame Jimboni kwake
 
Back
Top Bottom