Digo costa amtelekeza dogo lake

Digo costa amtelekeza dogo lake

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
Lile striker linalotisha la Chelsea Fc, Diego costa ambalo nado ni kinda la miaka 26 tu, limedaiwa kumtelekeza mdogo wake mwenye miaka 20 huko Brazil alipozaliwa kitendo ambacho kinamfanya dogo hilo liishi kwa shida sana diego costa.jpg
 
Huenda anakabagua/anakatelekeza kwasababu ni kafupi
 
Duuuuuu ya mungu mengi km huyuu aliyeweka hii picha c shabiki wa man u atakuwa arsenal
 
Back
Top Bottom