Wana-JF kuna brand mpya ya Digital tv zinaitwa Sansui kuna jamaa yangu yupo Japan ameniambia anataka kunitumia niziuze.
Swali ni je hizi tv zinaubora kweli na zitauzika? Mwenye uelewa tafadhali anijuze.
Jaribu kuchukua sample,uone ubora wake umekaaje na soko lake pia,kama ziko poa utauza sana
ila kama ni zile za kichina itakula kwako!!Fanya research pale kariakoo,
Ukileta ni PM nije nizione,naweza kukuunganisha na jamaa yangu yuko mkoa huwa anachukua sana t.v k/koo!!
Sansui ni kampuni kubwa sana japan na inavitu vyake very strong nina redio sansui booonge la dude heshima sana sema mara nyingi menu na remotes zake zipo kwenye setting ya kijapan sasa ikitokea hivyo umeula wa chuya manake wabongo wanataka lugha rahisi