Digital Recording Studio

Digital Recording Studio

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
224
Reaction score
110
Jamani nataka nifungue digital recording studio.

Sasa hebu niambieni nahitaji vifaa gani ili niweze kuwa na studio ya kuweza kurekodi kama ya Master J lakini iwe na uwezo wa kurekodi bendi ya wanamziki au kundi la watu kama 8 hivi.

Ninajuana na jamaa wako Holland, USA na UK lakini nikipewa ushauri nitashkuru ili nijue niagize nini na niwe na bajeti ya kiasi gani

Najua teknology imekua sana na enzi za madude makubwa zimepitwa na wakati so kitu kidogo lakini powerful

Sasa wakulu mnasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom