digital life

Kila mtu anatoa stress kwa style yake
 
Naona calculator mezani..Nafikiri hesabu zimekataa wameamua kutumia simu..

Aliyewapeleka hotel kawapotezea...Na watu wanadai chao..kudadadadeki 😉
 
Naona calculator mezani..Nafikiri hesabu zimekataa wameamua kutumia simu..

Aliyewapeleka hotel kawapotezea...Na watu wanadai chao..kudadadadeki 😉

Nimekusoma mkuu wewe mkali. Siunaona hiyo billi ya mini bar na Room service hapo mezani?
 
hapo utakuta wanafanya biashara ya wizi..... ila hii life ni stress free
 
Wapo JF,wanafuatili mada ya Pembe za Ndovu. Nadhan ni kakazake na msela waliokamatwa.
 
Wanagegedana kidigitali zaidi no kupeana majasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…