Digital (Digitali)

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Tunaona ushabiki wetu juu ya badiliko ya utangazaji kutoka analogia kuwa digitali,ndiyo lakini watu watanzania tulio wengi hatupo kidigitali ,na ata serikali yenyewe aiendeshi mambo yake kidigitali.Mabadiliko haya yawe mabadiliko ya kweli ktk mambo mengi ikiwa na ofisi nyingi zitumie electronics kuliko tunavyo ona leo pamoja ma mahubiri na matangazo mengi yenye tija ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…