Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
Wajuzi wa digital camera watupe mawazo yao kuhusu
-camera nzuri kwa ( beginners) wanaoanza.
-camera za bei nafuu kwa still pictures na za video.
-Maujuzi kuhusu lens.
-Kuhusu kununua camera eBay na Amazon.
-Mahali zinapouzwa kwa hapa Tanzania.
-Jinsi ya kutumua camera.
-Vitu muhimu vya kuzingatia katika kutumia camera.
-Ujuzi wa kutumia camera kibiashara.
-Camera bora.
NK.