Habari zenu wadau, ni muda mrefu nilikuwa na dream ya kununua digital camera. nimeweza kusave kiasi cha shs laki 2.5 mpaka sasa.. naomba kujuzwa digital camera nzuri za kununua.. zisiwe second hand tafadhali..
camera ambazo nazipienda ni pamoja na zile zenye vioo vipana, optical zoom angalau 14x, 8. mp.
niko dar es salaam kwa sasa!