Already We know the Public MUX = TVT (government)Ambapo kimsingi kutakuwa na MUX watatu, One Public MUX, One Private MUX and One Religios MUX.
Asante kwa uchambuzi wako,
Ni watu wachache wanaojua kuhushu hili. This is going to affect interested parties big time.
Swali langu :
Already We know the Public MUX = TVT (government)
Religious MUX = ???
(Btw there is big competition between the two largest religious institutions for this position in the country, its a ticking time bomb)
One Private MUX = (Lobby Groups are on it)
Dont you think huu mfumo wa kuwa na 3 Mux is going to bring beauracracy and lessen competition in the media sector. ?
Won't it affect the freedom of speech / Media . What are the views from MOAT on this ?
B.P
3. FM Radio stations zimekuwa zikitumia frequency tofauti katika maeneo tofauti mfano 89.5MHZ DSM, 92.0MHZ Mwanza kwa station moja, kwa nini wasiruhusiwe kutumia frequency moja kwa nchi nzima? Ni suala la leseni tu au kuna kikwazo kiteknolojia?
Asante Ndege ya Rais, ooops, sorry, I mean Ndege ya Uchumi. Lakini mimi narejea swali la tatu la JJ. Kwanza naelewa kwamba Frequency Modulated (FM) signals huwa hazifiki mbali sana kutokana na ukubwa wake. Lakini ninachojiuliza, kwa nini TCRA wasitoe the same frequency kwa a given radio station throughout the country? Kwa mfano, Radio Sinkala FM ina broadcast katika FM 88.8MHz Dar es Salaam. Najua haitafika mbali, na nina taka kubroadcast Tunduma pale mpakani na Zambia, natumia satellite kutoa matangazo hayo hayo ya watu wa Dar, lakini ninapewa frequency nyingine, let's say 99.9 MHz. Kwa nini nisipewe ile ile 88.8 MHz ili nisiwachanganye raia wanaosafiri safiri na wanaotaka kusikiliza Sinkala FM?Swali la Tatu:
Radio FM zinaoperate katika band ya (87.5-108 MHz) for region one as per ITU, na hii band ni VHF band. Sasa kwa wale wanaofahamu propagation theory ni kwamba frequency inapokuwa kubwa inakuwa na loss kubwa as a results signal yake haiwezi kwenda mbali sana kama frequency za HF au chini ya hapo. So Mkuu huwezi kuachive Counrtywide Covearge kwa VHF frequency, haziendi Mbali sana
Vile vile ni kuruhusu frequency reese as frequency is scarcy natural resource.
Kama una maswali mengine unakaribishwa Mkuu.
Asante Ndege ya Rais, ooops, sorry, I mean Ndege ya Uchumi. Lakini mimi narejea swali la tatu la JJ. Kwanza naelewa kwamba Frequency Modulated (FM) signals huwa hazifiki mbali sana kutokana na ukubwa wake. Lakini ninachojiuliza, kwa nini TCRA wasitoe the same frequency kwa a given radio station throughout the country? Kwa mfano, Radio Sinkala FM ina broadcast katika FM 88.8MHz Dar es Salaam. Najua haitafika mbali, na nina taka kubroadcast Tunduma pale mpakani na Zambia, natumia satellite kutoa matangazo hayo hayo ya watu wa Dar, lakini ninapewa frequency nyingine, let's say 99.9 MHz. Kwa nini nisipewe ile ile 88.8 MHz ili nisiwachanganye raia wanaosafiri safiri na wanaotaka kusikiliza Sinkala FM?