Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Daaa bado tuu hajarudi? Pole sana
 
Sa niwaambie mtu ana digirii mbili za ulaya. Kaacha mume kaolewa na wine. Anazifakamiaje. Hadi huruma.
 
Tatizo ukiwa na digrii unaangaika sana kuidifine ndoa na wakati simply ndoa ni muunganiko kati ya me,ke... bhaaasi!
 
Kama hizo ndio digirii bora mie nisokuwa nazo. Watoto boding. Mume kachapa lapa. Ni yeye, housegerl na wine. Sa hapo kazi ya housegerl nini kama si kudeki matapishi ya bosi akishakolea wine.
 
Kwani Da Sophy mumewako wewe yuko wapi?

Subutuuuu! Si wenyewe mmemsaidia kufuta nondo nilizokuwa nampiga hapa? Kapoa kama maji ya mtungi. Arudie upuzi wake kama sijammwaga kikweli.
 
Last edited by a moderator:
dasophy ngoja kwanza naja.

ila jamani ukitangaza vita uwe na nguvu....................
vinginevyo utaishia kupiga domo mweeh!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ukiwa na digrii unaangaika sana kuidifine ndoa na wakati simply ndoa ni muunganiko kati ya me,ke... bhaaasi!

mwanamke akiwa na digirii anaandika ndoa kwenye karatasi halafu anaweka saini. anadhani ni mkataba wa upangaji halooooo. wenzie hatuandiki tunatenda. akasome upya au atupe vyeti havimsaidii.
 
Kwani Da Sophy mumewako wewe yuko wapi?

Unamjua. Si ni wewe ulimsaidia kufuta zile sms nilizotuma humu JF eti asiadhirike. Poa lakini ujumbe umefika na lengo limefanikiwa. Yupo home, nimemwambia saa 12 jioni isimkute nje ye kawahi sa 11. Sa niwe na ugomvi tena wa ni?
 
Back
Top Bottom