Digi tech ya itv na star itakuwa lini?????

Digi tech ya itv na star itakuwa lini?????

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Wahusika wa ipp media na sahara tunaomba tujue ni lini mnaanza,Leteni ving'amuzi ambavyo hata watu wa kijijini watafaidi.
 
una haraka jamani, endelea kufuatilia matangazo vikitoka utajulisha kupitia matangazo kwa sasa endelea kutumia cd kama kawaida yako.
 
Cd yenyewe anayo moja tena ya makhirikhiri imeanza kuchoka.Ndo ambekumbuka kideo chake kinaonyesha digitali
 
Ndio maana naipenda jamii forums maana ukiuliza utapata majibu ya kupasua mbavu actually futuhi naipenda na reply zenu zote zimenivunja mbavu.maana mme lag 270% out of point.
 
Wahusika wa ipp media na sahara tunaomba tujue ni lini mnaanza,Leteni ving'amuzi ambavyo hata watu wa kijijini watafaidi.

sahau kupata coverage ya visimbua hivyo vijijini, minara ya cm yenyewe bado tatizo ndo waweze terrestrial broadcast. Kijijini, nunua kisimbua cha satelaiti kwan ni bora kuliko cha ardhini(terrestrial)
 
Na ndio maana hawana haraka kwa sababu watazamaji wao wengi wa mikoani tayari wako kwenye digital kupitia satelite dishes.
 
Back
Top Bottom