Kamanda hiyo ni Photoshop!! tu hiyo picha ilikuwa kwenye game moja ya basketball i thing was last year alikuwa anahesabu hela kwenye hiyo game ndio wapiga picha wakampiga akihesabu 100 dollar bill mara dollar 10 ikatokea katika wallet yake ndio akawa anashangaa