- Thread starter
- #61
Huyo Masaburi mwenyewe ni mwizi wa kupindukia, aliifilisi UDA huyo kitambo sana huko nyuma, Kwa kufoji hana mpinzani hata hilo jina la masaburi sio lake. Atatueleza nini masaburi wakati yeye ndio mmoja wa mafisadi wa kudumu ndani ya ccm. Segerea anafahamika vizuri sana huyo ndio maana hakuthubutu kugombea udiwani segerea akakimbilia kivukoni nako wakamshitukia lakini kwasababu yeye ni mwanamtandao wakamfumbia macho. Hakuna mtu kwasasa wa kutuambia pesa za ESCROW sio za umma wakati kodi haikulipwa, na watu walifoji taarifa mpaka Brela na TRA kama pesa zilikuwa zao kwanini wafoji documents!
Acha propaganda chafu Masaburi ni mtu safi