Did you know?

Did you know?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Mti ndio kiumbe kinachoishi miaka mingi zaidi. Kobe anashika namba mbili
 
Attachments

  • 1398102540481.jpg
    1398102540481.jpg
    78.2 KB · Views: 248
Mkuu kinachofanya aishi miaka mingi sijui kwakweli, tusubiri wenye uelewa zaidi

Kombe mambo yake yote yako slow ndo mana ht umri wake unaenda taratibu,mfano we ukiwa umemaliza miaka 5 ye ndo kamaliza 1,,sio km inzi ambaye yuko fasta fasta ndo mana maisha yake ni siku 7 tu.

source: mawazo yangu binafsi
 
Kunguru ndio anafata baada ya kobe, ila yeye anaonekana yuko "fasta" zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom