nisaidieni jibu la swali langu jamani ili mmea uwe mti unatakiwa kuwa.na sifa zipi? maana nimeona kama huo mti wanaodai ni mdogo kuliko yote kama ni jamii ya maua vile?!
kuna maua na vimmea fulani hivi ambavyo ni vidogo zaod.ya huo na hutoa.mua na mbegu kwa kimo hichohocho..labda nashindwa kujua mmea ukiitwa mti unakua na sifa zipi?
Kuna mtaalamu mmoja wa mimea hapa jf, anatumia ID gani vile? Mara ya mwisho nakumbuka tulikua tunaongelea mambo ya mimea, angetusaidia hapa
Mulize Defend or die
May be Mkuu MziziMkavu, namkubali sana kwenye mitishamba. consult him.Subiri atakuja hapa hapa kama hayuko porini mda huu
nisaidieni jibu la swali langu jamani ili mmea uwe mti unatakiwa kuwa.na sifa zipi? maana nimeona kama huo mti wanaodai ni mdogo kuliko yote kama ni jamii ya maua vile?!
kuna maua na vimmea fulani hivi ambavyo ni vidogo zaod.ya huo na hutoa.mua na mbegu kwa kimo hichohocho..labda nashindwa kujua mmea ukiitwa mti unakua na sifa zipi?
Subiri atakuja hapa hapa kama hayuko porini mda huu