Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
tehe teh teh teh HONGERA yakeMwenzenu alijaribu kuzuia chafya juzi kati akapasuka throat, shauri yako we endelea kuwadanganya wenzio tu
A Man Ruptured His Throat Trying to Hold Back a Big Sneeze
Ndio maana Chafya haipo hapo kaka!Mwenzenu alijaribu kuzuia chafya juzi kati akapasuka throat, shauri yako we endelea kuwadanganya wenzio tu
A Man Ruptured His Throat Trying to Hold Back a Big Sneeze
😎😎😎😎😎 Wait.....!😵Ndio maana Chafya haipo hapo kaka!
Kuna mambo mengine yapo kwa makusudi, Mungu aliyaleta.. mfano hiyo mechanism ya kusneeze ni kuondoa vitu visivyo rafiki kwenye system ya koo biologically 🙂tehe teh teh teh HONGERA yake
Thanks for education
Sawa kaka ... nili overlook!😎😎😎😎😎 Wait.....!😵
Kakaa au mimi ndio sielewi maana ya sneeze
🙄🙄🙄🙄🙄🙄