Did you know....!!!

Kuna msanii mmoja wa bongo akinyoa kawaida kama jay au kanye west nahisi hatapendeza kabisa so ni bora afuge tu kamchicha kake
 
Hahaha hiyo skul nadhani ilipumua baada ya hizo icon kuondoka maana hawa hip hop ilikuwa damuni sio kipaji cha njaa
 
Mtu anasukumwa na ugum wa maisha kisha anakwambia Nina kipaji toka utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…