Barani Africa, yuko mwanamke mmoja tu asiye na mikono yote miwili ila anafanya shughuli zake kama mwenye mikono kwa kutumia miguu yake.....kufua nguo, kuanika, kupika, kuendesha gari nk. Anaishi Afrika ya kusini (iNingizimu Afrika)
kuna tembo alivamia kijiji hata alipouliwa alibaki kasimama. si lazima muda wote lakini inatokea. source: mwanakijiji mmoja tukiwa kwenye bus huko moro alikuwa anaeleza (shahidi wa tukio).