Did he truly mean what he said??

Huyo.mtu mliachana ingawa hujaeleza nani alimuacha mwenzake. Ghafla umemuibukia, ulitegemea akwambie nini? Kama angeanza yeye kukwambia hivyo bila wewe kumtumia sms angekuwa anamaanisha hivyo. Ila we baada ya kukaa muda mrefu umemkumbuka na inaonekana baso unampenda. Kwahiyo ndiyo maana kila wakati unataka kusikia unachotaka kusikia. Je mlikaa tena kumaliza tofauti zenu baada ya kutengana. Kama si hivyo basi huyo ana mtu wake na hataki kujiingiza kwenye mawasiliano yatakayomgharimu uhusiano wake kwa mtu wake wa sasa. Kwahiyo wewe tafuta mtu uolewe la sivyo mtafute mkutane ana kwa ana akupe msimamo wake inagawa nadhani hautakuwa positive kama unavyotaka.
 
PARADIGM,kumtafuta mtu mkiwa mmeachana sio reason kwamba bado unampenda kimapenzi,ni binadamu mwenzangu kama wengine wote ambao huwa ninachart nao,so bado sijaiona hiyo principle katika maisha kwamba kama mtu umeachana nae usimtafute kwasababu ukimtafuta utaonekana bado unampenda,to me it sounds like chlidish.sorry!
 
Sometymz men are like that .... Kuna usemi mmoja upo kiumeni kuwa mwanaume haachi .... ' simba akikosa nyama hula nyasi' ... Ukiruhusu mawazo yako kuamini kirahisi hvyo ni sawa na kuamua kujishushia thaman yako...

Ataishia kukutumia wakati makoloni yake yameisha ...

Wake up my dear
 
Im in love with your name,infact thats my gf name too..Looks like your gonna be very cool as her,anyway songa mbele
 

i av already waken up my dear! Thank u.....
 
Daaaah sasa hapo unasubiri nini tena? Una dhiki ya kuolewa? Muombe Mungu akupe mahusiano yenye aman na sio ndoa ili mradi iwe ndoa,pia jiangalie usipelekwe na hisia!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Umesea ni x wako vile...? Sasa unadhani kama haku kuoa mkiwa ndani ya penzi mpaka mka broke sasa hivi ataku
Oa kwa maamuzi.? Subiria tu kama huna mpango mwengine ila nahisi utasubiri sana vile..?
 
Sorry..kumbe bado kuna wanawake wajinga hivi.....
 
that is wishing for the rain while u a standing in tjhe desert huyo ni muongo tu au kakuweka plan b yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…