Hellena Goodluck
Member
- Sep 10, 2014
- 84
- 26
Alikuwa ni boyfriend wangu and we broke up last year,but kuna siku nilimtext ili nimsalmie,baada ya salamu akanitext kuwa he will marry me after 3 years. Kilichonishangaza ni kuwa tangu hiyo siku hajawahi kujirudi na kunichukulia kama his girlfriend na wala haoneshi any consideration. Kwa sababu we are far from each other but hua hanitext wala kunipigia,nisipofanya mimi kumtafuta ndo basi hivo,and inafkia kipindi nachoka coz naona its like najipendekeza sana kwake. Naombeni ushauri jamani,should i take his words and trust him or does he play with my feelings?
Huna maisha mengine zaidi yake????
Halafu una mwandiko mbaya
Fanya mambo yako dada, usiwe mvivu wakufikiria
Trust him for what? Kirahisi tu because of a promise?
Hellena, I will marry you after three years. Trust me.
unaumri gani wewe mpaka akusubirishe miaka mitatu?
angalia usije ukawa unasubiri meli airport... !! hilo wala halihitaji elimu ya chuo kikuu we mpe haya malalamiko yako halafu uone atakujibu nini, jibu ndio lita-determine his seriousness...
usitegemee sana hiyo ahadi
Huna maisha mengine zaidi yake????
Halafu una mwandiko mbaya
usiku mwema...ila na mwandiko wako kama mbaya vile...
NATANIA TU BWANA MKUBWA....
Hahahah
Usiku mwema