Jaribu hii!!Wadau nahitaji dictionaryApp ambayo ina uwezo Kama Google translate Ila inatumika Offline pasipo hutaki data ntafuraji sana.
Asnateni
We niproveshie tu kuwa ni mzuri na hatumii data kwenye matimizi mkuuJaribu hii!! View attachment 2034353
Ni nzuri! Ila English na Swahili tu!We niproveshie tu kuwa ni mzuri na hatumii data kwenye matimizi mkuu