Dictator Museveni must go!

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Kwamba media zote za Afrika sasa zinaripoti kuwa Buganda kuna udikteta na kwamba Mu7 ni dikteta nguli?

Lakini Dikteta Mu7 anayelaumiwa sana kimataifa hajazuia watu kutoa maoni yao kupitia forum mbalimbali. Tumeshuhudia suala la Bobi Wine watu wakimshutumu dikteta huyo na wengine hata kumtukana matusi ya nguoni na akawaacha. Lakini kuna nchi za kidemokrasia ukimkosoa "mfalme" unashughulikiwa, na hata ukiandika mitandaoni unakamatwa kwa sheria ya mitandao. Bila shaka Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 mikutano ya kisiasa inaruhusiwa bila vikwazo lakini kuna nchi za kidemokrasia mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku kwa agizo la mtu mmoja. Mtu huyo chama chake kipo huru kufanya mikutano lakini vyama vingine vimezuiwa. Na mkijaribu kufanya mikutamo diffender zinawazoa kama mizoga au mnatawanywa kama mbwa koko. Hakika Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 kesi ya Bobi Wine imerushwa live kupitia vituo mbalimbali vya televisheni. Majaji hawana wasiwasi kurushwa live wakisikiliza kesi na kusoma hukumu kwa sababu wanaongozwa na sheria. Lakini kuna nchi za kidemokrasia kesi za viongozi wa upinzani zinaendeshwa kwa siri kama kesi za uhaini. Mahakimu na Majaji wako "biased" kwa sababu ya kupokea maagizo kutoka juu. Hawaangalii sheria inataka nini, bali anayewapa maagizo anataka nini. Bado hamuamini Mu7 ni dikteta?

Huko kwa dikteta Mu7 askari aliyempiga mwandishi amefukuzwa kazi, na kushtakiwa, huku jeshi la polisi la nchi hiyo likiomba radhi. Nchi za kidemokrasia askari waliua binti asiye na hatia kwa kumpiga risasi kichwani, baada ya muda wakampiga mwandishi kipigo cha mbwa koko. Polisi hao wauaji hawakuchukuliwa hatua zozote. Wakaachwa kuendelea na kazi. Wala jeshi la polisi halikuona sababu ya kuomba radhi. Kwani mtafanya nini wakati Mu7 ndiye dikteta?

Kwa dikteta Mu7 vyombo vya habari vipo huru kurusha maudhui yoyote wayatakayo, lakini nchi za kidemokrasia vituo vyote vya TV vimeondolewa kwenye ving'amuzi na taifa zima linalazimishwa kutizama taarifa ya habari ya televisheni ya taifa ambayo imegeuka kitengo cha propaganda cha chama tawala. Sishangai kwanini Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 hakuna maiti zinazookotwa hovyo mtaani, lakini kwenye nchi za kidemokrasia maiti zinaokotwa kiholela ufukweni zikiwa na majeraha, na inaonekana ni jambo la kawaida tu. Serikali haichukui hatua zozote na mkiwasumbua sana wanasema ni wahamiaji haramu. Yani kana kwamba imehalalishwa wahamiaji haramu kuuawa. Nasema Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 hatujasikia wakosoaji wakipotea hovyo, lakini kwenye nchi za kidemokrasia wakosoaji wanapotezwa kwa mkono wa chuma na haijulikani kama wapo hai au wamekufa maana hata maiti zao hazionekani. Bila shaka Mu7 ni "dikteta" katili.!

Huko kwa Mu7 hatujasikia Mbunge wa upinzani akipigwa risasi hadharani kwa sababu ya chuki za kisiasa, lakini kwenye nchi za kidemokrasia mbunge anaweza kupigwa risassi zaidi ya 30 hadharani mchana kweupe. Halafu security camera zikaondolewa haraka eneo hilo, na mfalme wa nchi husika asitoe hata salamu za pole kwa tukio hilo. Hakika dunia inajua udikteta wa Mu7 umevuka mipaka.

Kwa dikteta Mu7 hatujasikia Gavana akivamia kituo cha televisheni na mitutu ya bunduki kulazimisha kipindi chake cha umbea kirushwe. Lakini hayo tumeyashuhudia kwenye nchi za kidemokrasia. Gavana anafanya atakavyo kwa kiburi cha kulindwa na mfalme. Dikteta Mu7 must go.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Malisa,

Ndio ujue kutofautisha Tanzania na nchi zingine.Hatupo hapa kufurahisha nyoyo za mtu mmoja mmoja.
Mliwahi kusema zanzibar kuna toture chambers,mlipoambiwa mthibitishe mkashindwa
 
Kwakuelewa uzi huu nimesikitika sana kwasababu kubomoa anaweza kufanya mtu moja tu wakati kujenga wakafanya kikundi.
 
Museveni yupo madarakani tangu 1985, sijui mleta mada ulikuwa na umri gani wakati huo.

JPM kama mambo yataenda kwa mipango ya Mungu ataongoza mpaka 2025, miaka kumi tu.

Watanzania tunapenda sana kulialia, kulalama kama mtoto anayenyimwa nyonyo na Mama yake.
 
Nashangaa watu wanasema mseven ni dictetor Mimi nimekaa hizi nchi zote za Africa mashariki hakuna nchi RAIA wake wana Uhuru kama Uganda na hakuna nchi RAIA wakigeni wana Uhuru kama Uganda police hana shida na mgeni endapo haujavunja sheria watu wanafanya biashara KWA Uhuru ila hapa tz hata unadukumenti zote za TRA bado utasumbuliwa tu'pale Uganda hata tunavyoongea sasa hivi aliyekuwa IGP yuko mahabusu kwakuhusishwa KWA mauaji ya kaweesi na mseven katangaza mbele ya bunge huyo IGP hana tena kazi KWA kashifa hiyo hapa kwetu angepewa ubalozi mseven anachotaka usimondowe madarakani na halipizi kizazi mpaka Leo kisa beseje hadi Leo anafanya mikutano na biashara zake zinaendelea bila kususiwa
 
Madikiteta wana sura mbali mbali, lakini wote hushughulikia upinzani kwa viwango tofauti.Pia hupenda sana sauti zao..........
 
Kwamba media zote za Afrika sasa zinaripoti kuwa Buganda kuna udikteta na kwamba Mu7 ni dikteta nguli?

Lakini Dikteta Mu7 anayelaumiwa sana kimataifa hajazuia watu kutoa maoni yao kupitia forum mbalimbali. Tumeshuhudia suala la Bobi Wine watu wakimshutumu dikteta huyo na wengine hata kumtukana matusi ya nguoni na akawaacha. Lakini kuna nchi za kidemokrasia ukimkosoa "mfalme" unashughulikiwa, na hata ukiandika mitandaoni unakamatwa kwa sheria ya mitandao. Bila shaka Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 mikutano ya kisiasa inaruhusiwa bila vikwazo lakini kuna nchi za kidemokrasia mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku kwa agizo la mtu mmoja. Mtu huyo chama chake kipo huru kufanya mikutano lakini vyama vingine vimezuiwa. Na mkijaribu kufanya mikutamo diffender zinawazoa kama mizoga au mnatawanywa kama mbwa koko. Hakika Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 kesi ya Bobi Wine imerushwa live kupitia vituo mbalimbali vya televisheni. Majaji hawana wasiwasi kurushwa live wakisikiliza kesi na kusoma hukumu kwa sababu wanaongozwa na sheria. Lakini kuna nchi za kidemokrasia kesi za viongozi wa upinzani zinaendeshwa kwa siri kama kesi za uhaini. Mahakimu na Majaji wako "biased" kwa sababu ya kupokea maagizo kutoka juu. Hawaangalii sheria inataka nini, bali anayewapa maagizo anataka nini. Bado hamuamini Mu7 ni dikteta?

Huko kwa dikteta Mu7 askari aliyempiga mwandishi amefukuzwa kazi, na kushtakiwa, huku jeshi la polisi la nchi hiyo likiomba radhi. Nchi za kidemokrasia askari waliua binti asiye na hatia kwa kumpiga risasi kichwani, baada ya muda wakampiga mwandishi kipigo cha mbwa koko. Polisi hao wauaji hawakuchukuliwa hatua zozote. Wakaachwa kuendelea na kazi. Wala jeshi la polisi halikuona sababu ya kuomba radhi. Kwani mtafanya nini wakati Mu7 ndiye dikteta?

Kwa dikteta Mu7 vyombo vya habari vipo huru kurusha maudhui yoyote wayatakayo, lakini nchi za kidemokrasia vituo vyote vya TV vimeondolewa kwenye ving'amuzi na taifa zima linalazimishwa kutizama taarifa ya habari ya televisheni ya taifa ambayo imegeuka kitengo cha propaganda cha chama tawala. Sishangai kwanini Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 hakuna maiti zinazookotwa hovyo mtaani, lakini kwenye nchi za kidemokrasia maiti zinaokotwa kiholela ufukweni zikiwa na majeraha, na inaonekana ni jambo la kawaida tu. Serikali haichukui hatua zozote na mkiwasumbua sana wanasema ni wahamiaji haramu. Yani kana kwamba imehalalishwa wahamiaji haramu kuuawa. Nasema Mu7 ni dikteta.!

Kwa dikteta Mu7 hatujasikia wakosoaji wakipotea hovyo, lakini kwenye nchi za kidemokrasia wakosoaji wanapotezwa kwa mkono wa chuma na haijulikani kama wapo hai au wamekufa maana hata maiti zao hazionekani. Bila shaka Mu7 ni "dikteta" katili.!

Huko kwa Mu7 hatujasikia Mbunge wa upinzani akipigwa risasi hadharani kwa sababu ya chuki za kisiasa, lakini kwenye nchi za kidemokrasia mbunge anaweza kupigwa risassi zaidi ya 30 hadharani mchana kweupe. Halafu security camera zikaondolewa haraka eneo hilo, na mfalme wa nchi husika asitoe hata salamu za pole kwa tukio hilo. Hakika dunia inajua udikteta wa Mu7 umevuka mipaka.

Kwa dikteta Mu7 hatujasikia Gavana akivamia kituo cha televisheni na mitutu ya bunduki kulazimisha kipindi chake cha umbea kirushwe. Lakini hayo tumeyashuhudia kwenye nchi za kidemokrasia. Gavana anafanya atakavyo kwa kiburi cha kulindwa na mfalme. Dikteta Mu7 must go.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na siasa uchwara akiondoka sasa hivi hasara tunayo Watanzania maana miradi yote itafutiliwa mbali. Huoni KENYA wanashadidia ili aondoke na au akayeingia awe Rafiki wao kiuchumi. Yangoswe muwachie ngoswe
 
Back
Top Bottom