Diblo Dibala Ok Madame

Diblo Dibala Ok Madame

Nyingine hii ya Luciana demingongo inaitwa calvaire, wahenga mtaijua tu.
 
Kuna zile zipompa pompa dah nakumbuka 1994 hivi
Nta zitupia hapa leo jioni mkuu, ila huu wimbo wa calvaire nimeutafuta karibia miaka miwili mpaka jana usiku ndipo nikaupata, .
 
Mmh nimektisha njia mbaya nilikuwa naenda MMU samahanini wahenga
 
Aisee! kitambo bilashaka hapa ndipo AWILO LONGOMBA alipo tokea drums alizikung'uta yeye
 
Back
Top Bottom