and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,229
- 39,714
- Thread starter
- #321
Angalau awamu hii tunaheshimika
Uko USA halafu unataka kufanya kazi ubalozi wa Tanzania?View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.
Labda uwe Chawa wa Wasiraje nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa