Kuna wakati niliona nchi za Afrika ambazo diaspora wake wanaongoza kutuma pesa kwao either kusaidia ndugu, jamaa na marafiki zao, au kuwekeza kiuchumi.
Tanzania hatukuwa kwenye nafasi nzuri, tulipitwa na nchi ndogo kama Rwanda, naona huu ndio wakati wenu muanze kupambana kwenye eneo hilo.