Diaspora na dua la kuku kwa Diamond Platnumz

Diaspora na dua la kuku kwa Diamond Platnumz

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,317
Baada ya diamond kushindwa kufanya show nchini Uingereza siku chache zilizopita huku yeye akisema ilikua ni tatizo la promoter alieanda show, sasa Meneja wake Diamond Platnumz amefunguka sababu za msanii wake kushindwa kufanya show hile, Pia ikimbukwe ni wiki chache tu zilizopita Diamond alishindwa kufanya show nchini Ujerumani baada ya kuchelewa kufika katika show na kusababisha vurugu mpaka kufikia hatua ya polisi kuingilia.

Utaweza kusoma Onyo aliopewa Diamond na shabiki aliefika kwenye show ya Uingereza na kuambulia patupu kwa kuwa msanii huyo aligoma kupanda stejini.
10661858_10152420773432684_6386420277745660606_o.jpg
10314546_10152420774012684_54936162596293849_n.jpg
cheki alichoandika shabiki...



SOURCE ; "Diamond asije UK tena kufanya show, Watulete Alikiba | MAMBO YA WALIMWENGU
Create a Link
 
hicho ndcho umekifikiria tangu asubuhi mpaka mda huu na kuamua kukaa nyuma ya keyboard kututaarifu?
Kwan ameshusha mihadarat tayar?
Maana aliibeba mingi sana
 
hicho ndcho umekifikiria tangu asubuhi mpaka mda huu na kuamua kukaa nyuma ya keyboard kututaarifu?
Kwan ameshusha mihadarat tayar?
Maana aliibeba mingi sana

Na wewe ni Diaspora?
 
Usumbufu tu, mashabiki walitokea mbali mbali na kupoteza siku nzima safarini.... nakurejea patupu !
 
hapo nimeona kama Chris alikuwa anakata ticket? je ni Chris Lukosi - Polisi mstaafu huyu ninayemfahamu au Chris mwengine, ila mie naona wote walipiga deal
 
Tulijaribu kushajeisha na kuunga mkono Bidhaa za Tanzania !! hatimaye tunapuuzwa hata na msanii, amabye kiingilio chetu ndo mafanikio yake !! chongchung Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom