Mkuu.tumetofautiana usitaka maisha au msoto uliopitia et watu wengine wapitie .huenda nikakosa visa lkn moyo nitamani na Mimi kufikia ulipofikia ww.kumbuka hata family zetu uchumi umetofautiana.kingine nikwambie mheshim kijana yeyote ambaye anandoto za kufanya maendeleo Fulani hvyo anapokuja kukuomba ushauli usimuone boya kumbuka kuna vijana kama yeye ambao wamekosa mawazo hayo ,wengine now wanaiba,vibaka,wahuni,nk
wewe ni diaspora wa nchi gani mkuu ili nikija unipokeeNaandika huu uzi baada ya kusoma na kusikia mara kadhaa kwamba diaspora wabongo hawatoi connection za kwenda nje compared to diaspora wa nchi kama Kenya, Nigeria nk. Mimi kama diaspora napinga hii notion vikali.
Hapa JF Kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazojadili jinsi ya kwenda nje, a quick search mtu unapata majibu yote na bado watu tunachangia nyuzi kila leo. Mnataka connection gani zaidi?
EBM anatoa free knowledge on YouTube na bloggers wengine jinsi ya kwenda nje, hiyo sio connection? Tuwape bundle za kuingia youtube au?
Mimi binafsi nimeshirikiana na watu kadhaa toka kwenye forum hii hii toka walipoanza harakati zao za kwenda nje na sasa wapo mbele needless to say walifanya sehemu zao na mambo yao yakafanikiwa. Sasa urafiki umekua undugu. Tatizo ndugu zangu wamatumbi mnapotaka connection mnataka hao diaspora wawape hadi hela na passport wawatafutie. You have to play your part as well.
Kimsingi kwenda nje is as easy as ABC. Kupata connection ni vizuri but isn't everything. Mimi nilienda bila connection yeyote ile, maelezo yote yapo kwenye websites za nchi husika ila ni lazima uwe tayari kufanya sehemu yako pia, kuna watu wanadhani diaspora wana a magic code ya kwenda nje this couldn't be further from the truth. Ni lazima uwe tayari kufanya sehemu yako.
Wabongo wenzangu punguzeni kulalamika kiboya, JF Kuna more than 100 threads, YouTube ipo, website za nchi husika zipo, tunajitoa as much as we can but we can only do so much. Maisha yako ni jukumu lako, kusaidiana kupo ila sio wajibu.
Nipo around mazee.
Asante, hivyo vyuo vinavyotoa hizi post graduate mpaka ufike ndio navihitaji binafsi nimefuatilia poland gharama zao ziko reasonable bank statement ndio kipengele.
Vipi mawakala wa kazi huko na gharama zao!?
Shukrani nitajaribu kuchek gharama zao USA na CanadaMkuu nipo NA so ushauri wangu is somewhat biased. Siku zote nawaambia watu wajaribu kwanza USA au Canada wakishindwa ndo waanze nchi zingine.
Kwa US, angalia state universities vipo vyuo ambavyo ada ni hadi ufike for postgrads.
Sina uzoefu wa kuja kwa njia ya kazi. Wadau wengine watakuja kuchangia hili au mcheck EBM youtube kuna video kaongelea hilo in details.
Mbongo Mbongo tu, halafu unaonekana una roho mbaya kama mdudu!.Mpaka kumuhifadhi??? huo sasa ndio uboya wenyewe na hio ni spoon feeding. Jiulize sie wengine tuliingia hapa bila mjomba wala shangazi wa kutuhifadhi na bado tulitoboa. Wabongo wavivu wa kufikiri na kimatendo pia.
Shukrani nitajaribu kuchek gharama zao USA na Canada
Mkuu unampeleka mbali school izo nchi ni ghali aombe visit visa canada ajue french ata cha kuomba maji the rest is historyKama plan yako ni kuzamia, gharama za chuo kwako ni irrelevant.
Wewe uwe na hela ya application, visa na nauli. Ukifika unachimba.
Regarding BS kuna namna watu wanacheza nazo hapo bongo, do your homework. Bongo hata muhuru wa magogoni unapata tafuta connection hapo hapo bongo.
Mkuu unampeleka mbali school izo nchi ni ghali aombe visit visa canada ajue french ata cha kuomba maji the rest is history
Mimi kinacho nifurahisha ni kuona kua zile thd za kuponda wabeba box hapa JF hazipo tena,badala yake hata wale wapondaji nao wanataka connection,
Nakomaa na box,nitarudi kusoma povu.
😀😀😀😀
Bro mbele ni mbele tu ... Ila poland sio nchi ya kuishi otherwise uende kwa kuanzia kama njia tuAsante, hivyo vyuo vinavyotoa hizi post graduate mpaka ufike ndio navihitaji binafsi nimefuatilia poland gharama zao ziko reasonable bank statement ndio kipengele.
Vipi mawakala wa kazi huko na gharama zao!?
Uzi ufungweWanaija na wakenya hawaoni wenge kujilipua majuu, sema wabongo wengi wana kiuoga fulani sawa na mtoto wa mwisho asiyetaka kuondoka kwenda mbali na mama yake. Na hii mentality ya uoga imetulemaza mazima....
Kabisa mkuu yani tunakatishana tamaa .mfno kuna jamaa mdogo wake mfugale yy yupo USA na tyl ana uraia huko.nilipomcheki akasema life kule ngumu sana
Alfu anaanza kunitambia vitu ambavyo yy anamiliki kule kwa mda mfupi lkn nikimwambia nipe connection shida
Mkuu mimi nmeenda ulaya kwa kusoma ndio hulipi ada lakini huwez pata hyo temporary permit bila kulipa ada na ili ubadili status moja kwenda nyingine lazima ulipe ada upate permit ndo mengine yaendelee ukitaka kusoma aya usipptaka sawa acha shule umebadili status tayar acha shule ujabadili status permit inakuwa revokedVizuri ndo maana tushare ideas hapa. Sina uzoefu na visiting visa za CN ila kwa shule hahitaji kulipa ada since kasema yeye mpango wake ni kufika tu na kuingia mtaani.
Kifupi nahitaji connection haijalishi ni njia gani nitatumia .kingine mm mtoto wa kimasikini baba ,mama ndo Mimi kusema kutembea nitakudanganya ingwa kama kusoma ikitokea poa .lkn tusipende kuwaktisha wengine tamaaChief unaandika mambo mengi ila hujibu maswali ya msingi.
Ulitaka kwenda nje kwa njia gani shule, matibabu, utalii, biashara au?
Ulitaka kwenda nchi gani?
Information gani unahitaji?
Okoa nguvu na muda.
Pagumu sana hali inatisha wengi wao abroad maisha wanabangaiza kwa hiyo hawana cha kukuambia au kukumotivateHao wanaotaka connection ya kwenda ughaibuni wangejua jinsi maisha yalivyo kule wangekausha tu,Diaspora wengi wanakufa na tai shingoni.
Tena wewe nakutamani sana.mkuu omba nisije kufanikiwa yani popote ulipo nitajitahidi nikupate alfu nikusaidie ili nikuoneshe kuwa katika maisha tunategemeana .tena hata ukifa kabla yangu hakika nitatfuta kabuki lako liko wapi angalau hata nilijengee au kuweka maua.lengo kukuonesha kuwa hata wewe ulipo hapo umesaidiwa hvyo usiwakatishe vijana ambao wana mawazo chanya ktk jamii
Tena wewe nakutamani sana.mkuu omba nisije kufanikiwa yani popote ulipo nitajitahidi nikupate alfu nikusaidie ili nikuoneshe kuwa katika maisha tunategemeana .tena hata ukifa kabla yangu hakika nitatfuta kabuki lako liko wapi angalau hata nilijengee au kuweka maua.lengo kukuonesha kuwa hata wewe ulipo hapo umesaidiwa hvyo usiwakatishe vijana ambao wana mawazo chanya ktk jamii
Ukishakua mbele unajiona sio mbongo tena,na unaanza kutusema.Mpaka kumuhifadhi??? huo sasa ndio uboya wenyewe na hio ni spoon feeding. Jiulize sie wengine tuliingia hapa bila mjomba wala shangazi wa kutuhifadhi na bado tulitoboa. Wabongo wavivu wa kufikiri na kimatendo pia.