Na pia wamepata mlinzi maana lazima wanamuona anachungulia nje kila wakati
Kwahiyo wanalala salama, sungu sungu wa mtaaa
Ngoja nijiendee zangu Follyies nikaburudike huku naangalia Single Ladies episode 5 na Kandy Burrus show
Mange mjuaji sana,
Siasa yeye,
Urembo yeye,
Uaguzi wa nani anaoua albino yeye,
Biashara yeye,
Familia na malezi yeye...
Kaaah!
Lol, wee nawe uko shinyanga!! Nenda dar ukatoe tongotongo 😂😂😂
Mchawi yeye
Mfitini yeye
Sura ngumu yeye
Mzindaki yeye
Kigagula yeye
Mwanga yeye
Pua kachonga yeye,
Matako kapandikiza yeye,
Lensi machoni kaweka yeye,
Kujichubua yeye,
Kujikondesha yeye,
Yani yule deep inside hajikubali na yupo insecure sana.
Anataka afanane na Kim Kardashian si jiran yake nasikia.
Ulisahau kitu kimoja, roho mbaya yeye....
Maisha popote Clueless14.
I love Kibera
Karibu sana Kibera
Shukrani sana, majirani zako wana rangi gani huko na unalipa kodi dola ngapi? Kama cheap siji.��
Muulize pia kama ana green card, pia kama ana morgage na ya bei gani na je analipa ada ya wanae?
Green card kaona kitu cha maana sana kwake na anaweza sema card yake ni tofauti na za wengine yake ni first class anavyopenda makuu.Halafu na li accent lake libovu bovu...eti katishiwa kuitiwa polisi anaanza 'I have a green card...I have a green card...I have a green card'
Hahahaaaa.......ushamba kweli mzigo.
Pua kachonga yeye,
Matako kapandikiza yeye,
Lensi machoni kaweka yeye,
Kujichubua yeye,
Kujikondesha yeye,
Yani yule deep inside hajikubali na yupo insecure sana.
Anataka afanane na Kim Kardashian si jiran yake nasikia.
Ulisahau kitu kimoja, roho mbaya yeye....
Hapo kwenye pua kuna waziri wake mmoja kamwambia chief umefanikiwa kupaka make up, but mbona pua yako tundu moja kubwa zaidi? Nimecheka loh.
Hahaaaaa wa2 wabaya wanachunguzacmpka tundu la pua moja dogo moja kubwa
...... Wengi ni darasa la saba na form four. Huwezi ukawa na degree ukaandika matusi ya kumdhalilisha mtu ambaye katika maisha yake wala hujawahi kuonana naye zaidi ya kumsikia tu na kumuona kwenye media. Ni ujingaa mnafanya nyie wanawake.........
'Call the police...I'm not illegal.....call the police...I'm not illegal here....call them now..stupid....you think I'm illegal....I have green card...call them':becky::becky::becky:.