we unakubaliana na hiyo sheria ya shut up law,ukubali ukatae lowasa SI msafi hata kama akipita uraisi maana anautaka kwa nguvu zotee
Kwa iyo ndo anaipinga kwa chuki na majungu kwa kushirikiana na team ya vigodoro ya Wema?
Yani the way anavofikisha fikra zake kwa chuki na uhasama ndipo anapohariiiibu.
Kafyata taaa! ***** chezea kyombo kya dollar?
Huwezi kushindana na sauti ya Mungu.
Tulia unyolewe.
Katumia mwanya huo kuwa attack personalities zao na kuruhusu comments za kuwachafua hao kina Makamba.
Akati analalwa na Makamba hakuona kuwa hafai.?
Pyeee
Huwezi kushindana na sauti ya Mungu.
Tulia unyolewe.
Katumia mwanya huo kuwa attack personalities zao na kuruhusu comments za kuwachafua hao kina Makamba.
Akati analalwa na Makamba hakuona kuwa hafai.?
Pyeee
Saa izi analia lia kwenye kiblog chake.
Fans wake wamemchamba na kumtukana.Alijifanya kaivalia njuga CCm na Lowassa.
Alizani siasa ni ule utumbo na mataptap yake ya chooni ambayo huwa anajimwaya mwaya nayo mbele ya rafiki anony.
Limemshuka shuuuu
Huwezi kushindana na sauti ya Mungu.
Tulia unyolewe.
Katumia mwanya huo kuwa attack personalities zao na kuruhusu comments za kuwachafua hao kina Makamba.
Akati analalwa na Makamba hakuona kuwa hafai.?
Pyeee
mbona unaqoute Mara mbili mbili khaaa,mi hayo mengine sijaulizaa
nani mwenye sauti ya Mungu?
Hata mara mia naquote tu.
Hatulipii ni bure.
Kumbe na yeye kapitiwa na Makamba eeh roho inamuuma kweli kila siku badala ya kutoa hoja kila siku anamwimba huyo mkaka. Aendelee kumuongelea huyo Lowasa ka anajiamini.
Mange ana fake IDs kuliko watanzania wote, maana ni mpekuzi hakunaga na lazima na leo ameongeza kama kawaida
Hadi anajisahau hata alitetea mtoto wake na fake ID.
Huko kwenye blog yake ndio basi tena sijui mawaziri wangapi ni yeye
Maana anataka kuchangamsha genge lake.
Hakuna na tusipomrekebisha kwenye hii mitandao ya kijamii walah atajatuletea vita na nchi jirani yule, hivi anavyomchamba zari ukute nae anamisukule yake kule uganda na akili ziwe zimefanana na mange si ingekuwa tabu mbeleni, maana vita zote ni chokochoko ndogo mwisho majanga.Hana mbele wala nyuma sijui hata analalaje usiku mwanamke kila siku unagombana na mtu! hivi kuna mtu hapa Tz ana maadui kama Mange?
Wazungu mtaa huo wanamuenjoy kama nyani tuteh teh teh alafu anaendelea kusema mtaa anaokaa hakuna mweusi, wala shule watoto wake wanasoma hakuna ngozi nyeusi. Sasa sijui na sisi weusi tulimfanyia nini??
Wazungu mtaa huo wanamuenjoy kama nyani tu
Na pia wamepata mlinzi maana lazima wanamuona anachungulia nje kila wakati
Kwahiyo wanalala salama, sungu sungu wa mtaaa