Diaspora,diaspora wajemeni!!

mtuwatu

Member
Oct 21, 2009
95
2
Kuuliza sio ujinga wanakwetu, kutojua ndo ujinga!!
Nisaidieni nijue maana /madhumuni/sababu na faida ya diaspora maanake nimengia kwenye blog ya michuzi naona picha na maelezo kibao ya diaspora.........mwenzenu sielewi nisaidieni wanakwetuu!
 
Back
Top Bottom