Diary of the bored housewife

Diary of the bored housewife

Sijawahi hata kufinywa jamani hiyo siku ikifika nahisi kituo cha kwanza kitakua Oysterbay. Nitapiga simu kama zote yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo bwaja yaache tu kwakweli.
Jspo mie nilipigwa kofi na ndio ikawa tiketi ya safari, sipeeeeendi kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insecurity inatokea wapi wakati jiko tu la gheto kwake kanunuliwa na Annette. As if alikua anampa hela wakati alikua anampa penzi na vichocolate tu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msingi kiuno huwa wanapenda kujitutumuaaa.
Bora aachwe tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo bwana yaache tu kwakweli.
Jspo mie nilipigwa kofi na ndio ikawa tiketi ya safari, sipeeeeendi kupigwa.
Bora kofi moja kidogo uchangamshe akili lakini kipigo cha mbwa koko hakivumiliki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo bwana yaache tu kwakweli.
Jspo mie nilipigwa kofi na ndio ikawa tiketi ya safari, sipeeeeendi kupigwa.
Bebee!mara moja moja siyo mbaya!

Hata kakofi kamoja tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msingi kiuno huwa wanapenda kujitutumuaaa.
Bora aachwe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibuti chanukia kwa bwana J. Alianza vizuri kaja kuboronga mfyuuuuuu
 
Bora kofi moja kidogo uchangamshe akili lakini kipigo cha mbwa koko hakivumiliki
Sipati picha napigwa kipigo cha hivyo walah[emoji134][emoji134][emoji134]
Ila sijui huwa kuna nini, wanawake wanaopigwa vipigo vya hivyo huwa unakuta wametulia tulii just doing nothing abt it[emoji134]
 
Ndio maana sina hamu na wakurya mimi, na polisi nilienda mbona[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa..Pole Mama. Nasemaga tu siku mwanaume akija kunipiga ajue ndio bye bye. Kuna mmoja huyo alitakaga kunipiga nikamwambia weeeeee tena usijaribu nadhani unajua naweza nikakuzingua japo nguvu sina. Sasa nyanyua mkono wako uone.
Kumbe ilikua ndo zake bwana kupiga wanawake ila kwangu aliblow. Anajua kweli ningemtia jamba jamba angethubutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom