mgt software JF-Expert Member Nov 1, 2010 13,767 7,115 Feb 5, 2012 #41 kuanzia kesho tuanze kutoa mlolongo wa matapeli wa elimu, tusimtegemee sana Kainoluga maana yeye udili na wanaojiita maprofesa na Madaktari
kuanzia kesho tuanze kutoa mlolongo wa matapeli wa elimu, tusimtegemee sana Kainoluga maana yeye udili na wanaojiita maprofesa na Madaktari
N nsekangaye.kagabo Member Dec 21, 2011 53 11 Feb 5, 2012 #42 Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania lina mbunge aitwaye obama. Hata hivyo hana uhusiano na obama wa u.s. Huyu kashule kapo(bcom), lakini si mwanasiasa,anaweza biashara.
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania lina mbunge aitwaye obama. Hata hivyo hana uhusiano na obama wa u.s. Huyu kashule kapo(bcom), lakini si mwanasiasa,anaweza biashara.
Cha Moto JF-Expert Member Jul 2, 2011 945 153 Feb 5, 2012 #43 Hizi taarifa akizipata Baba Mchungaji Mtilkila anaweza kutusaidia kumfikisha kortini huyu mama muongo wa elimu
Hizi taarifa akizipata Baba Mchungaji Mtilkila anaweza kutusaidia kumfikisha kortini huyu mama muongo wa elimu