Diamond yupo katika kufanya Project mpya!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nimehesabia Collabo ambazo Diamond anatarajia Kuzitoa na wasanii wakubwa nje ya nchii ila nimechoka! Sasa Naomba mseme na hii picha!
b8da70f81f63e0490c58ec58283ff0b6.jpg


Oyooo nomaa nomaa nitakupigia nitakupigia baadaee!
 
yuleeeeeeeee Simba anachanja mbuga,ila sishangai sn coz alishasema this time ni kutoboa South to America!
kila jambo huendana na nia na Mungu anakupa kulingana na nia yko,ila penye nia pana njia pia...nahc dhamira zake zitatimia muda si mrefu.
Mungu amsaidie km utashi wa nafc yake unavohitaji.
 
Soma nyingine hapa chini:

mtvbaseafghanstan @diamondplatnumz working on future project with #PAGAN
 
Mbona Chris Brown mwenyewe kaishiwa?


Chris Brown kaishiwa kivipi? Kila akifanya concert inakuwa sold out in matter of days. Hivi anataka kufanya few shows in Europe watu wanamsubiri kwa hamu. Jamaa Ni mchapa kazi japo na uhuni wake. Au unataka apewe Kilimanjaro Award za Bongo movie ndio ujue
 
Acheni hizo,hayo ni makolabo tu yananunuliwa sikuiz!
Ni kweli yananunuliwa tena kwa pesa kubwa sana kama wewe kwao/kwake hautokuwa na msaada wa muziki wake, ila atakuwa anakupa msaada wewe ( rejea kolabo ya kiba na Davido iliyoshindikana jamaa alitaka $ 100,000/= kwa kuwa Davido kamuona Alikiba ni Underground,si Davido tu hata kwa Wizkid pia kashindwa hii habari haizungumzwi na wengi hawaijui ) Lakini kwa DIAMOND ni tofauti wanamjua yeye ndio king of East Africa huwa hawalipi ( kwa sababu wao kabla ya kufanya kolabo na wewe wanapitia "mafaili" yako je una nguvu ya kiasi gani ....)
 
English sio rahisi kiasi hicho someni comment vizuri ndo mlete mada nyinyi
 
640x640x13166852_1071913842873783_1859230986_n.jpg.pagespeed.ic.DqY6JIjm_I.jpg


Kituo cha burudani cha MTVBase wametangaza kuwa Diamond Platinums wa Tanzania anajiandaa kufanya kolabo la hatari na msanii wa Marekani Chris Brown.

1463384016591-jpg.348084


Habari kutoka kituoni hapo zinadai kuwa mpaka sasa Diamond yuko chimbo akijifua na project hiyo ambayo itafanyika hivi karibuni.

Stay tuned...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom