D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 #1 ================= Kidingi said: Huyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu.. Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza - TZA_MillardAyo Click to expand...
================= Kidingi said: Huyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu.. Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza - TZA_MillardAyo Click to expand...
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #2 decent girl said: Click to expand... Hahaaaa maisha haya bhana yanabadilika Sana nimeamin nilipoona hii picha
decent girl said: Click to expand... Hahaaaa maisha haya bhana yanabadilika Sana nimeamin nilipoona hii picha
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,851 Apr 5, 2016 #3 Kwahiyo???
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Apr 5, 2016 #4 pesa nzuri aisee
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Apr 5, 2016 #5 Weka na ya kwako, ya kipindi kilee...!
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #6 miss chagga said: pesa nzuri aisee Click to expand... Pesa ndo kila kitu
kibanga 3 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 1,380 Reaction score 977 Apr 5, 2016 #7 Na huyo demu wake alimtosaa?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,115 Reaction score 136,839 Apr 5, 2016 #8 Diamond kweli huyo?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 5, 2016 #9 huyo demu aliyeko kushoto kwa Diamond bado yuko naye?
kibanga 3 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 1,380 Reaction score 977 Apr 5, 2016 #10 Zamaulid said: huyo demu aliyeko kushoto kwa Diamond bado yuko naye? Click to expand... Huyo naona kazulumiwa na zari na huyo inaonekana ndio walianza nae maisha
Zamaulid said: huyo demu aliyeko kushoto kwa Diamond bado yuko naye? Click to expand... Huyo naona kazulumiwa na zari na huyo inaonekana ndio walianza nae maisha
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 5, 2016 #11 kibanga 3 said: Huyo naona kazulumiwa na zari na huyo inaonekana ndio walianza nae maisha Click to expand... aiss...hebu nipe namba yake nimtafute
kibanga 3 said: Huyo naona kazulumiwa na zari na huyo inaonekana ndio walianza nae maisha Click to expand... aiss...hebu nipe namba yake nimtafute
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #12 Zamaulid said: huyo demu aliyeko kushoto kwa Diamond bado yuko naye? Click to expand... Mkuu huyo c ndo alomtosaga mpaka akaimba nenda kamwambie
Zamaulid said: huyo demu aliyeko kushoto kwa Diamond bado yuko naye? Click to expand... Mkuu huyo c ndo alomtosaga mpaka akaimba nenda kamwambie
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #13 Nyani Ngabu said: Diamond kweli huyo? Click to expand... Huamini macho yako mkuu
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,699 Apr 5, 2016 #14 Alikuw hb kuliko sshv
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #15 kibanga 3 said: Na huyo demu wake alimtosaa? Click to expand... Ndio ndo huyo adden said: Alikuw hb kuliko sshv Click to expand...
kibanga 3 said: Na huyo demu wake alimtosaa? Click to expand... Ndio ndo huyo adden said: Alikuw hb kuliko sshv Click to expand...
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #16 adden said: Alikuw hb kuliko sshv Click to expand...
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 5, 2016 #17 decent girl said: Mkuu huyo c ndo alomtosaga mpaka akaimba nenda kamwambie Click to expand... aiss anaitwa nani huyu
decent girl said: Mkuu huyo c ndo alomtosaga mpaka akaimba nenda kamwambie Click to expand... aiss anaitwa nani huyu
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,522 Apr 5, 2016 #18 decent girl said: Huamini macho yako mkuu Click to expand... Bado anafikicha macho ili aone vizuri, ila Diamond ni mtu wa vimwana tangu kitambo.
decent girl said: Huamini macho yako mkuu Click to expand... Bado anafikicha macho ili aone vizuri, ila Diamond ni mtu wa vimwana tangu kitambo.
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #19 Zamaulid said: aiss anaitwa nani huyu Click to expand... Kuna siku diamond alikuwa anahojiwa akasema huyo mpenzi wake alikuwa anaitwa sara
Zamaulid said: aiss anaitwa nani huyu Click to expand... Kuna siku diamond alikuwa anahojiwa akasema huyo mpenzi wake alikuwa anaitwa sara
D decent girl JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 302 Reaction score 139 Apr 5, 2016 Thread starter #20 KWEZISHO said: Bado anafikicha macho ili aone vizuri, ila Diamond ni mtu wa vimwana tangu kitambo. Click to expand... Ila kwa hali ilee lazima kukimbiwa
KWEZISHO said: Bado anafikicha macho ili aone vizuri, ila Diamond ni mtu wa vimwana tangu kitambo. Click to expand... Ila kwa hali ilee lazima kukimbiwa