Diamond wa Bukoba

Hapo ni spice beach sio? pemben kuna mshikaji wangu white mfupi hivi anachomaga kitimoto..nyuma na hapo barabarani kuna jamaa zangu wauza samaki freshi jion nilikua nikitoka misele napitia samaki ambao bado wanaruka ruka napanda nao geto kutengeneza supu!!Daah nakumbuka nilikua naenjoy sana beach za huko., Hali ye hewa nzuri dadeeki full mvua na utulivu fulani,nakumbuka pia totoz zinamwaga water kunako bed daah, kampala nimeenda sana ni karibu sana tokea Bk!! Nimeacha washkaji zangu nitakuja Tena Inshallah ..Kuna kiroyera...daah ...I miss Bukoba Nilikua nakaa kashura hapo juu tu
 
Daaah, mkuu kweli we mdau. Huyo jamaa mfupi mchuga bado yupo jikoni kama kawaida mtaalam wa mdudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kusahau mbunye za kina Koku zinavyorushaga maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…