Transkei Senior Member Joined Sep 19, 2011 Posts 113 Reaction score 64 Oct 10, 2012 #1 habari wanaJF,kuna yeyote mwenye updates za graduates recruitment program zilizotangazwa na hii bank ya DTB last month,je wameshaita au bado?
habari wanaJF,kuna yeyote mwenye updates za graduates recruitment program zilizotangazwa na hii bank ya DTB last month,je wameshaita au bado?
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 10, 2012 #2 bado hawajaita
Transkei Senior Member Joined Sep 19, 2011 Posts 113 Reaction score 64 Oct 10, 2012 Thread starter #3 prakatatumba said: bado hawajaita Click to expand... thanx mkuu!!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 10, 2012 #4 Transkei said: thanx mkuu!! Click to expand... una first class degree lakini kama huna usihangaike nao
Transkei said: thanx mkuu!! Click to expand... una first class degree lakini kama huna usihangaike nao
M mwana mpendwa Senior Member Joined Oct 6, 2012 Posts 171 Reaction score 21 Oct 10, 2012 #5 prakatatumba said: una first class degree lakini kama huna usihangaike nao Click to expand... mkuu c walisema first class au upper second au nimesoma tangazo vibaya?
prakatatumba said: una first class degree lakini kama huna usihangaike nao Click to expand... mkuu c walisema first class au upper second au nimesoma tangazo vibaya?
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,851 Reaction score 37,564 Oct 11, 2012 #6 kazi ipo,so wenye pass(aka gentlemen) je?
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 11, 2012 #7 christine ibrahim said: kazi ipo,so wenye pass(aka gentlemen) je? Click to expand... hata pua usinuse
christine ibrahim said: kazi ipo,so wenye pass(aka gentlemen) je? Click to expand... hata pua usinuse
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 11, 2012 #8 mwana mpendwa said: mkuu c walisema first class au upper second au nimesoma tangazo vibaya? Click to expand... vivyohivyo
mwana mpendwa said: mkuu c walisema first class au upper second au nimesoma tangazo vibaya? Click to expand... vivyohivyo
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,800 Oct 11, 2012 #9 watawalipa kulingana na first class, au ni wale wale, wa unaanza na telling na bado gross ni 750,000! tufiakwa!
watawalipa kulingana na first class, au ni wale wale, wa unaanza na telling na bado gross ni 750,000! tufiakwa!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 11, 2012 #10 cacico said: watawalipa kulingana na first class, au ni wale wale, wa unaanza na telling na bado gross ni 750,000! tufiakwa! Click to expand... hawa ni graduate trainees,wanaenda internship for two years
cacico said: watawalipa kulingana na first class, au ni wale wale, wa unaanza na telling na bado gross ni 750,000! tufiakwa! Click to expand... hawa ni graduate trainees,wanaenda internship for two years
M mtendaji wa kijiji JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 533 Reaction score 115 Oct 11, 2012 #11 Kwaiyo hawalipwi chochote? Najua baadh ya makampun huwa wanatoa nusu ya mshahara prakatatumba said: hawa ni graduate trainees,wanaenda internship for two years Click to expand...
Kwaiyo hawalipwi chochote? Najua baadh ya makampun huwa wanatoa nusu ya mshahara prakatatumba said: hawa ni graduate trainees,wanaenda internship for two years Click to expand...
M MAJANGA NIACHE Member Joined Feb 21, 2012 Posts 95 Reaction score 6 Oct 12, 2012 #12 internship lazima ulipwe
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Oct 13, 2012 #13 Kulipwa mhimu hata kama ni interneship!
Mpiga Nyoka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 283 Reaction score 122 Oct 13, 2012 #14 Huwezi fanya kazi kwa miaka miwili usilipwe kitu. Me mwenyewe nilituma application tuendelee kusubiri.
Huwezi fanya kazi kwa miaka miwili usilipwe kitu. Me mwenyewe nilituma application tuendelee kusubiri.
M MAJANGA NIACHE Member Joined Feb 21, 2012 Posts 95 Reaction score 6 Oct 14, 2012 #16 hafu utan ktk maswala ya kaz uwekwe pemben,nan anauhakika wa ln wataita, help plz
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Oct 15, 2012 #18 bado wanachambua..ya online application.
NGOGO CHINAVACH JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 943 Reaction score 373 Nov 24, 2012 #19 Wenzenu wameshaanza.