Diamond Trust Bank

Transkei

Senior Member
Sep 19, 2011
113
64
habari wanaJF,kuna yeyote mwenye updates za graduates recruitment program zilizotangazwa na hii bank ya DTB last month,je wameshaita au bado?
 
watawalipa kulingana na first class, au ni wale wale, wa unaanza na telling na bado gross ni 750,000! tufiakwa!
 
Huwezi fanya kazi kwa miaka miwili usilipwe kitu. Me mwenyewe nilituma application tuendelee kusubiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom