Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Jana msanii diamond aliweka wazi kwamba hataki mwanae Tiffah awe msanii na kwamba wasanii wenhi wa kike hufanya mambo mengine tofauti ili kuweza kufanikiwa na kuishia pabaya haya amesema diamond akiwa Jijini Nairobi nchini Kenya.