Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,087
- 72,499
Halafu fiesta ndo inaisha ...mpaka kiba aperfom ni mwakani
Inauma sanaaaa
Halafu fiesta ndo inaisha ...mpaka kiba aperfom ni mwakani
Achanganye mata.ko mavi yasigande
Huwa inauma sana pale unapomchukia mtu afu anazidi kufanikiwa tu. Kwa kweli inakera sana!
Heheheee...
Hahaha
Alaaa unipangie cha kuandikaa mimiiiiiiiii au photocopy
Umenichekeshaa...Humu ni marufuku kumpenda Diamond...lol
Shangaaaaa utafikiria wanatuwekea vocha au simu wametununulia, wakasugue gaga
Hasira ikiwazidi wasilambe ndimu haikati kichefuchefu wakajikune kwenye ukuta wa chuping mpaka ukuta uwe smooth
Ndo nishasema hivyoooo...

Tusikuquote halafu umaarufu tutaupatia wapi? Teh...
Si mkanye roundabout saa 6 mchana mbona mtakua maarufu
Au umaarufu wa kupata madanga ya ukweee... jf
Ndio tunataka umaarufu wa matusi tujulikanee....
Inabid Max aandae tuzo aiseee