Diamond,Shaa, Joh Makini kutumbuzia Leo CoCo Beach

mh jaman humu kuna manenoo,et watafute kwapa wanuse

Usitake kunitia aibu binamu, una maana hujui kama kwapa ndo dawa ya kichefu chefu suguu? Hasa upate lile kwapa pori...halijui shaver wala spray, wala deodorant...kile kinachonukia uchunguuuu.....kichefuchefu kisipokata ujue umerogwa mwayegoo....
 
uwiii.ndo nmeijua leo hyo dawa ya kchefuchefu
 
Back
Top Bottom