Diamond: Producers kama krizbeat ndio size yako

Diamond: Producers kama krizbeat ndio size yako

Barn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
2,733
Reaction score
4,050
Baada ya watu kusema nyimbo za diamond anazoproduce laizer zinakua na ubora mdogo kulingana na level yake naona kaamua kubadirisha producer kwenye African beauty ft omarion!!

Diamond sasa hao ndio producers wa level yako huyo laizer inataikiwa awe kama msaidizi tu, huu wimbo unasaund vizuri na unaquality nzuri, mixing na mastering nzuri safi
 
WEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
Jina halisi anaitwa Chris Alvin Sunday ni mnaijeria ana miaka 24, alikua namba 3 katika list ya maproducer wazuri watano Nigeria mwaka 2016 baadhi ya nyimbo alizoproduce ni pana by tekno, Diana by tekno,marry me by mickey ft jah bless, I hear ya by mosky ft tekno n.k.
 
WEKA PICHA YA KRIZBEAT TUMUONE NA HISTORIA YAKE HATA NA HITS ALIZOWAHI KUTENGENEZA
Alikuwa chizi mnamo 1922 akapewa dawa na mganga akapona akaitwa jina la Derick omonula ikwechi kutokana na kuugua uchizi akajiita " crazy boy " mwaka 2014 akapata mafanikio makubwa baada ya kutengeneza biti Kali mwaka 2016 akapata umaarufu zaidi na akabadili jina la kampuni akajiita " krizbeat " [emoji4] [emoji377]
 
Lizer mzuri sana kwenye afropop zile local sana... anapiga vinanda hatari.. hata filimbi anapiga na drums anaingiza live... sio kwa kupanga....

shida Wasafi wanamvuruga vuruga. maana kuna local kama kina lava lava na mbosso.. na kuna watabe kama diamond...

nazani lizer angeachiwa kina lava lava.. diamond kazi zake afanyie nje ya nchi kama kwa don jazzy zile za kwenda international
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom