I like your signature
basi sawaNani kakwambia hizi picha zimebanwa na Diamond?
Mbona naanzisha topic nyingi tu humu, hasa kwenye majukwaa ya picha, burudani na michezo. Au zengwe lote ni kwasababu ni picha za Diamond?
Hapo alipo anafanya show za overseas"Akiwa amekula ngada"Chid Benz angekaza labda nae angekuwa na shows za overseas
Hapana mkuu, Frankfurt ipo Msoga Chalinze bara la Pwani..Hivi Frankfurt siyo Mji ulioko nchi ya Ujerumani bara la Ulaya? Au macho yangu yamekufa????